You must enroll in this course to access course content.
Pakua Faili la PDF
Maelezo
Chakula halali kina nafasi kubwa katika Uislamu. Chakula halali ni sababu ya kukubaliwa kwa dua na baraka katika mali na familia. Makusudio ya chakula halali ni kile kitu ambacho ni chakula, halali, kilichopatikana kwa njia halali na kwa mali halali, bila ya kudhulumu au kupora haki za wengine. Msingi katika vyakula Matunda na mazao Pombe na vilevi Mihadarati Vyakula vya baharini Wanyama wa nchi kavu Uwindaji wa kisheria Taratibu za kula na kunywa
Maudhui ya kozi
Jumla : 9 Mihadhara
Mwalimu wa kozi
Sehemu
- Muda Uliokadiriwa: 80
- Mihadhara 9
-
Lugha
Kiswahili
- Maswali 9
- Kuonyesha masomo 0
- Kiwango cha ujuzi Beginner
- Wanafunzi 2,320