You must enroll in this course to access course content.
Pakua Faili la PDF
Maelezo
Mavazi ni neema miongoni mwa neema za Allah kwa watu. Allah Mtukufu amesema kuwa: ‘‘Enyi wanadamu, kwa yakini kabisa tumekuteremshieni nguo zinazositiri tupu zenu na nguo za urembo. Na vazi la uchamungu ndio bora zaidi. Hizo ni miongoni mwa neema za Allah ili (wanadamu) wapate kukumbuka’’.(Al-aaraaf, aya 26)
Maudhui ya kozi
Jumla : 6 Mihadhara
Mwalimu wa kozi
Sehemu
- Muda Uliokadiriwa: 50 dakika
- Mihadhara 6
-
Lugha
Kiswahili
- Maswali 6
- Kuonyesha masomo 0
- Kiwango cha ujuzi Beginner
- Wanafunzi 2,066