kozi 2 – Imani yako

kozi 2 – Imani yako

KiswahiliKiswahili
1,925 Wanafunzi, Intermediate , Rekebisho la mwishoJuly 17, 2023 ,
You must enroll in this course to access course content.
You must enroll in this course to access course content.

Pakua Faili la PDF

Maelezo

Ujumbe wa Mitume wote kwa watu wao umeafikiana juu ya kumuabudu Allah pekee asiyekuwa na mshirika, na kuwakataa wale wanaobudiwa badala ya Allah. Hii ndio hakika ya maana ya Laa ilaaha Ilallah (hakuna anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah tu), Muhammad Rasuulullah (Muhammad ni Mjumbe wa Allah). Na hilo ndio neno ambalo kwalo mtu anaingia katika dini ya Allah. Shahada mbili: maana na masharti yake Kukiri kuwa Muhammad ni Mtume wa Allah Nguzo sita za imani Kumuamini Allah Kuamini Malaika Kuamini Vitabu Kuamini Mitume Kuamini Siku ya Mwisho Kuamini Kadari

Maudhui ya kozi

Jumla : 19 Mihadhara

Mwalimu wa kozi

  • Sh. Salim Qahtwan

    Sh. Salim Qahtwan

    Amejiunga 5 months Iliyopita
    1933 Wanafunzi
    3 Kozi
    Tazama Kozi zote

Sehemu

  • Muda Uliokadiriwa: dakika 160.32
  • Mihadhara 19
  • Lugha KiswahiliKiswahili
  • Maswali 19
  • Kuonyesha masomo 0
  • Kiwango cha ujuzi Intermediate
  • Wanafunzi 1,925

Kategoria

Programu

Lebo