You must enroll in this course to access course content.
Pakua Faili la PDF
Maelezo
Allah amemuamrisha Muislamu kuusafisha moyo wake uondokane na maradhi ya nyoyo, kama: husda, kiburi na mfundo. Pia kuusafisha mwili wake uondokane na najisi na uchafu. Muislamu akifanya hayo, atastahiki kupata mapenzi ya Allah, kama Allah alivyosema kwamba: «Kwa yakini, Allah anawapenda wenye kutubu sana na anawapenda wenye kujitwaharisha». (Sura Albaqara, aya 222). Maana ya twahara Kujisafisha najisi Hadathi Natawadha vipi?
Maudhui ya kozi
Jumla : 8 Mihadhara
Aina za Twahara
You must enroll in this course to access course content.
1 ya 0
Kujitwaharisha kutokana Najisi
You must enroll in this course to access course content.
2 ya 0
Adabu za kukidhi Haja
You must enroll in this course to access course content.
3 ya 0
Kujitwaharisha kutokana na Hadathi
You must enroll in this course to access course content.
4 ya 0
Mwalimu wa kozi
Sehemu
- Muda Uliokadiriwa: dakika 61.96
- Mihadhara 8
-
Lugha
Kiswahili
- Maswali 8
- Kuonyesha masomo 0
- Kiwango cha ujuzi Intermediate
- Wanafunzi 2,176