kozi 4 – Swala yako

kozi 4 – Swala yako

KiswahiliKiswahili
2,074 Wanafunzi, Intermediate , Rekebisho la mwishoJuly 17, 2023 ,
You must enroll in this course to access course content.
You must enroll in this course to access course content.

Pakua Faili la PDF

Maelezo

Swala ndio nguzo kubwa ya dini na ni mafungamano ya mja na Mola wake. Kwa sababu hiyo, swala imekuwa ibada kubwa sana na yenye hadhi tukufu mno. Allah amemuamrisha Muislamu kudumu kuswali katika mazingira yake yote; awapo mjini mwake, safarini, wakati wa afya njema na wakati wa ugonjwa. Maana ya swala Nafasi ya swala na fadhila zake Swala tano zilizofaradhishwa na nyakati zake Mahali pa kuswali Namna ya kuswali Je, ninaswali vipi? Nguzo za swala na mambo yake ya wajibu Swala ya jamaa Adhana Swala ya Ijumaa Swala ya msafiri Swala ya mgonjwa

Maudhui ya kozi

Jumla : 24 Mihadhara

Mwalimu wa kozi

  • Sh. Muharram Mwaita

    Sh. Muharram Mwaita

    Amejiunga 5 months Iliyopita
    2074 Wanafunzi
    3 Kozi
    Tazama Kozi zote

Sehemu

  • Muda Uliokadiriwa: dakika 208.86
  • Mihadhara 24
  • Lugha KiswahiliKiswahili
  • Maswali 24
  • Kuonyesha masomo 0
  • Kiwango cha ujuzi Intermediate
  • Wanafunzi 2,074

Kategoria

Programu

Lebo