Kozi 6 – Funga yako

Kozi 6 – Funga yako

KiswahiliKiswahili
2,514 Wanafunzi, Beginner , Rekebisho la mwishoSeptember 26, 2023 ,
You must enroll in this course to access course content.
You must enroll in this course to access course content.

Pakua Faili la PDF

Maelezo

Allah amefaradhisha kwa Waislamu kufunga mwezi mmoja katika mwaka. Ni mwezi wa Ramadhan uliobarikiwa. Ameufanya kuwa ni nguzo ya nne katika nguzo za Uislamu na ni katika majengo yake makubwa. Allah Mtukufu amesema kuwa: «Enyi ambao mmeamini, imefaradhishwa kwenu funga kama ilivyo faradhishwa kwa waliokuwepo kabla yenu, ili mpate kuwa kumuogopa Allah». (Sura Albaqara, aya 183) Mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa tisa katika miezi ya mwezi muandamo katika kalenda ya Kiislamu. 

 

Maudhui ya kozi

Jumla : 10 Mihadhara

Mwalimu wa kozi

 • Sh. Salim Qahtwan

  Sh. Salim Qahtwan

  Amejiunga 8 months Iliyopita
  2515 Wanafunzi
  3 Kozi
  Tazama Kozi zote

Sehemu

 • Muda Uliokadiriwa: 80 dakika
 • Mihadhara 10
 • Lugha KiswahiliKiswahili
 • Maswali 10
 • Kuonyesha masomo 0
 • Kiwango cha ujuzi Beginner
 • Wanafunzi 2,514

Kategoria

Programu

Lebo