Kozi 8 – Miamala yako ya kifedha

Kozi 8 – Miamala yako ya kifedha

KiswahiliKiswahili
2,073 Wanafunzi, Beginner , Rekebisho la mwishoJuly 17, 2023 ,
You must enroll in this course to access course content.
You must enroll in this course to access course content.

Pakua Faili la PDF

Maelezo

Uislamu umeweka kanuni na sheria zote ambazo zinamlida mwanadamu na pia kulinda haki zake za mali na kazi; sawa mwanadamu awe tajiri au masikini. Pia kanuni na sheria hizi zina mchango katika kuifanya jamii iwe na mashikamano na na maendeleo katika nyanja zote za maisha. Msingi katika miamala yote ya kifedha ikiwa ni pamoja biashara, kukodisha na mashirikiano mengine ambayo watu wanashirikiana na kuyahitaji ni kwamba ni halali na yanaofaa, isipokuwa tu mambo machache yaliyo tolewa na ambayo yenyewe ni haramu au yamekuwa haramu kwa sababu ya njia iliyo tumika katika kuyapata.

 

Maudhui ya kozi

Jumla : 13 Mihadhara

Mwalimu wa kozi

 • Sh. Muharram Mwaita

  Sh. Muharram Mwaita

  Amejiunga 5 months Iliyopita
  2073 Wanafunzi
  3 Kozi
  Tazama Kozi zote

Sehemu

 • Muda Uliokadiriwa: 115 dakika
 • Mihadhara 13
 • Lugha KiswahiliKiswahili
 • Maswali 13
 • Kuonyesha masomo 0
 • Kiwango cha ujuzi Beginner
 • Wanafunzi 2,073

Kategoria

Programu

Lebo