Duaa

duaa

Duaa

UMUHIMU WA KUOMBA DUA Adabu za Kuomba Dua 1. Usafi wa mwili. Kwa sababu Dua ni Ibada, na Ibada haikubaliki bila ya usafi 2.Kuinua mikono juu wakati wa kuomba Dua. Amesema Mtume (swalla Allah alayhi wasallam) : “Hakika Mola wenu ana sifa ya haya na ukarimu. Anaona haya kumrejesha mja wake anapoinua mikono yake kumuomba […]

UMUHIMU WA KUOMBA DUA
Adabu za Kuomba Dua
1. Usafi wa mwili. Kwa sababu Dua ni Ibada, na Ibada haikubaliki bila ya usafi
2.Kuinua mikono juu wakati wa kuomba Dua. Amesema Mtume (swalla Allah alayhi wasallam) : “Hakika Mola wenu ana sifa ya haya na ukarimu. Anaona haya kumrejesha mja wake anapoinua mikono yake kumuomba Dua” (Bukhariy)
3. Kuomba Dua zilizothibiti katika Qur’an na Sunna ya Mtume (swalla Allahu alayhi wasallam).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *