SUNA ZA MTUME (SAW) NA NYIRADI ZAKE ZA KILA SIKU

SUNA ZA MTUME (SAW) NA NYIRADI ZAKE ZA KILA SIKU

Sifa zote njema ni za Allah aliyesema kuwa: “Kwa yakini, mna kigezo kizuri kwa Mtume wa Allah kwa mwenye kutaraji (kukutana na) Allah na Siku ya Mwisho na akamdhukuru Allah kwa wingi”. (Sura Al- ahzaab: 21). Allah ameweka ni sheria kufuata Suna ya Mtume wake, rehema na amani ziwe juu yake. Swala na amani ziwe […]

Sifa zote njema ni za Allah aliyesema kuwa:
“Kwa yakini, mna kigezo kizuri kwa Mtume wa Allah kwa mwenye
kutaraji (kukutana na) Allah na Siku ya Mwisho na akamdhukuru Allah
kwa wingi”. (Sura Al- ahzaab: 21). Allah ameweka ni sheria kufuata Suna ya
Mtume wake, rehema na amani ziwe juu yake. Swala na amani ziwe juu ya
mbora zaidi aliyeufahamisha Ummah utii timilifu na kufuata Suna.
Ndugu yangu msomaji, nakuwekea mikononi mwako Suna za Mtume
(SAW) za kila siku tokea kuamka kwake hadi kulala kwake, zikiwa zimepangwa
kulingana na wakati. Kisha nimezifuatishia kwa Suna nyingine za kila siku
zisizofungaman na wakati maalumu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *